SHANGWE NA NDEREMO ZIKIFANYIKA KUMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO AKIWASILI KITONGOJI CHA NGALAWALE MJINI LUDEWA
HAPA NAE MHESHIMIWA YUPO KUBURUDIKA NA WANANCHI HAO KABLA YA KUINGIA KWENYE UKUMBI WA MKUTANO
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO AKIWA PAMOJA NA WATAALAM MBALIMBALI TOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA KATIKA KITONGOJI HICHO.
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO DKT CHANA AKITOA HOTUBA KWA WANAKIKUNDI NA BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO LEO
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Wanawake , Jinsi na Watoto Dkt. Pindi Chana Amehitimisha Ziara Yake ya Siku Mbili Mkoni Njombe Kwa Kukagua na Kuzungumza na Baadhi ya Wanachama wa Vikundi Vya Kijasiliamali , Huku Akiwashauri Wananchi Kujiunga na Vikundi Mablimbali Vya Kijasiliamali Ili Waweze Kujikwamua Kiuchumi.
Akiwa Katika Kijiji cha Ngalawale Wilayani Ludewa Dkt. Chana Amewashauri Wananchi Kujishughulisha na Shughuli za Miradi ya Ufagaji Ukiwemo Ufugaji Nyuki,kuku na Kujikita Zaidi Kwenye Kilimo cha Mazao ya Chakula na Biashara Ili Kujiongezea Kipato.
Akizungumza na Wanakikundi cha Jitegemee Kinachojishughuliasha na Ufugaji wa Nguruwe Dkt. Chana Amewataka Viongozi wa Vikundi Hivyo Kuvisajili Ili Vitambulike Kisheria na Kuweza Kupata Mikopo Kirahisi Kutoka Taasisi za Kifedha na Serikali, na Hapa Anaeleza.
Katika Hatua Nyingine Naibu Waziri Huyo wa Maendeleo ya Jamii,Wanawake , Jinsi na Watoto Amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii Kuwatembelea Wananchi wa Maeneo ya Vijiji Kwa Lengo la Kutoa Elimu na Kutatua Changamoto Zinazowakabili Katika Shughuli za Kimaendeleo
Naibu Waziri Huyo wa Maendeleo ya Jamii , Wanawake , Jinsi na Watoto Alikuwa Mkoani Njombe Kwa Ziara ya Siku Mbili Katika Wilaya za Njombe na Ludewa Ambapo Ametembelea
Vikundi Vya Kijasiliamali, Vikundi Vya Vikoba Makambako, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ulembwe na Njombe Mjini

No comments:
Post a Comment