MATUKIO NA NGILANGWA MICHAEL:
Pages
Home
CONTACT
0757092504/0678321772
Thursday, January 30, 2014
NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA SERA MWIGULU LAMECK NCHEMBA LEO AMEZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA NJOMBE JUU YA KUNUNUA NA KUZITUMIA MASHINE ZA EFD.
NAIBU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU LAMECK NCHEMBA AKIZUNGUMZA NNA WAFANYABIASHARA MJINI NJOMBE LEO
MKUU WA WILAYA YA WANGING'OMBE ESTERINA KILASI AKIZUNGUMZA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE CAPTAIN MSTAAFU ASERI MSANGI AKIWA KATIKA UKUMBI WA TURBO
WAFANYABIASHARA WAKISIKILIZA NA KUTAFAKALI JUU YA KILE KITAKACHOZUNGUMZWA
MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE KASKAZINI NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA NJOMBE DEO SANGA
MFANYABIASHARA WA NJOMBE MJINI LEO TAMAA MBELE AKIHOJI MASWALI KUHUSIANA NA MASHINE ZA KUTOLEA STAKABADHI ZA EFD
Serilika Imeendelea Kuwasisitiza Wafanyabiashara Kununua na Kuzitumia Mashine za Mahesabu
za Kielektroniki za Kutolea Stakabadhi za EFD Wakati Ikiendelea Kushughulikia Hoja za
Wafanyabiashara Juu ya Mashine Hizo.
Kauli Hiyo ya Serikali Imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Lameck Nchemba Hii Leo
Wakati Akiongea na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe na Kusema Kuwa Kitendo cha
Wafanyabiashara Hao Kugomea Mashine Hizo Si cha Kizalendo na Badala Yake Waombe
Kupatiwa Elimu Juu ya Mashine Hizo.
Aidha Naibu Waziri Nchemba Ameziagiza Bodi na Mamlaka Zinazohusika na Masuala ya
Kusogeza Huduma za Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Kuhakikisha Wanaanzisha Haraka Ofisi
za TRA Mkoa wa Njombe Ili Kupunguza Gharama Kwa Wafanyabiashara ya Kusafiri Kwenda
Mkoani Iringa Kwa Ajili ya Kulipa Kodi na Mambo Mengine ya Kibiashara,na Hapa Anaeleza.
Kwa Upande Wao Wafanyabiashara Hao Wamesema Hawapingi Kutumia Mashine Hizo za EFD ,
Bali Mashine Hizo Zinauzwa Kwa Bei ya Juu Ukilinganisha na Mitaji Yao Pamoja na Kodi
Wanazolipa Kuwa Hazitumika Kadri ya Malengo Yaliyopangwa Hali Inayosababisha Kuwepo Kwa
Hofu Miongoni Mwao na Hapa Wanaeleza,
Hata Hivyo Baadhi ya Wafanyabiashara Hao Wameiomba Serikali Kugharamia Ununuzi wa
Mashine Hizo Huku Wengine Wakionekana Kupinga Kuendelea Kutumia Mashine za EFD.
PICHA ZOTE NA GABRIEL KILAMLYA
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment