HAPA ANAELEZEA KILIMO CHA MIHOGO WILAYANI SONGEA JINSI KINAVYOKUBALIKA NA MIHOGO INAVYOKUWA MIKUBWA NA KWAMBA MUHOGO MMOJA AMBAO NI MKUBWA KULIKO HUO ALIOUSHIKA INAUZWA MPAKA SHILINGI ELFU NNE NA ELFU TANO
HUYU NI MFANYABIASHARA WA MIHOGO TOKA WILAYA YA SONGEA AKITEMBEZA MIHOGO HIYO MKOANI NJOMBE
No comments:
Post a Comment