Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, March 3, 2013

ZAMALECKI YA NJOMBE YAKUBALI KUTOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TIMU YA NATIONAL YA LUGALAWA KATIKA MASHINDANO YA LIGI YA TAIFA NGAZI YA MKOA WA NJOMBE.



 Timu ya Nationali ya Lugalawa fc mkoani Njombe kikosi hatari.
 Timu zote zikiwa uwanjani katika uwanja wa sabasaba Zamaleck fc ya Njombe na Nationali fc ya Lugalawa njombe jez nyekundu ni zamaleck fc ya njombe.








Hapa mashabiki wamesimama kuangalia timu zao uwanjani wakiwa na makamisaa katika uwanja wa sabasaba.


Timu ya mpira wa miguu ya Zamaleck ya Njombe imeshindwa kutamba katika uwanja wa sabasaba baada ya timu ya Nationali fc ya Lugalawa kulazimisha sale ya bila kufungana katika ligi ya taifa ngazi ya mkoa inayoendelea sasa hivi uwanjani hapo.

Zamaeck fc ya Njombe waliokuwa wakiwania kutoka na ubingwa dhidi ya timu ya Nationali fc ya Lugalawa walijaribu kufulkuta pande zote kulazimisha ushindi lakini walishindwa  baada ya wapinzani wake kuziba nyufa zote za ushindi wa zamaleck fc ya Njombe.

Hadi dakika tisini zinakwisha na muamuzi anapuliza kipyenga timu hizo zote zilikuwa hazijafungana ikiwa kipindi cha kwanza walitoka bila bila na kipindi cha pili bila bila.

No comments:

Post a Comment