Mkuu wa wilaya
ya Kilolo Gerald Guninita katikati akizungumza na madiwani katika
kikao cha baraza la madiwani kinachoendelea sasa katika ukumbi wa
Halmashauri ya Kilolo kulia ni mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Joseph
Muhumba na kushoto ni kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Benison
Kilangi
Watumishi wa Halmashauri ya Kilolo wakiwa wameinamisha vichwa chini wakati mkuu huyo wa wilaya akizungumza nao mchana huu
Wakuu wa idara katika Halmashauri ya Kilolo wakifuatilia hotuba ya DC Kilolo
No comments:
Post a Comment