MITARO IMETENGENEZWA UPANDE MMOJA MTARO MWINGINE HAUKUTENGENEZWA WAJIULIZA KWA NINI.
BAADA YA MIAKA MITATU BARABARA HII ITAKUWAJE?
Hii ni mitaro ya maji kando ya barabara ya Lutilage kuelekea Joshoni hadi Melinze na hii ilijengwa kwa mawe na kokoto lakini hali yake ndiyo hii. Picha Na Michael Ngilangwa Habari kamili itakujia hivi punde.......................
No comments:
Post a Comment