Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro ,Leonidas Gama
akikagua jengo hilo.
|
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na Mkuu wa wilaya ya Rombo
Lembris Kipuyo wakifurahia nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na wanafunzi wa
shule ya sekondari ya Olele wakati alipofika kwa ajili ya uzinduizi na
makabidhiano rasmi ya ukumbi wa chakula uliojengwa kwa ufadhili wa
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa
Wilaya ya Rombo mara baada ya kuwasili katika shule ya sekondari Olele
iliyopo kata ya Olele kwa ajili ya kukabidhi Mradi wa ujenzi wa ukumbi
wa Chakula uliojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,
Tanzania (TANAPA).
|
|
RC ,Gamana viongozi wengine wakiskiliza nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na kwaya ya shule ya sekondari Olele wilayani Rombo. |
|
Kutokana
na hali ya mvua iliyokuwepo wakati wa makabidhiano ya ukumbi wa
chakula,mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama alilazimika kubadili
meza kuu na wao wakaa eneo ambalo pia lilikuwa na mvua huku akisema ni
vyema mvua ikawanyeshea wote pamoja na wananchi. |
|
Jengo
la Ukumbi wa Chakula lililojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi
za Taifa (TANAPA) katika shule ya sekondari Olele wilayani Rombo. | | |
|
Meneja
Ujirani Mwema kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ahmed Mbugi
akitoa taarifa kuhusiana na ujenzi wa ukumbi wa Chakula katika shule ya
sekondari Olele. |
|
Baadhi ya wananchi katika kata ya Olele. |
|
Kaimu
Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania,TANAPA,Ibrahim Musa
akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi mradi wa ujirani mwema wa
ujenzi wa ukumbi wa Chakula katika shule ya sekondari Olele wilayani
Rombo. |
|
RC,Gama na DC,Kipuyo wakilowa kutokana na mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha. |
|
Wanafunzi
katika shule ya sekondari Olele wakifuatilia hotuba ya viongozi
waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya ukumbi wa chakula
uliojengwa na TANAPA. |
|
Mkuu wa wilaya ya Rombo ,Lembris Kipuyo akizungumza katika hafla hiyo. |
|
Wakazi wa kata ya Olele. |
|
No comments:
Post a Comment